Magoli | KMC 1-3 Simba | NBC Premier League 26/12/2022
Simba imeendeleza ubabe dhidi ya KMC, ikiitandika magoli 3-1 leo kwenye Dimba la CCM Kirumba Jijini Mwanza mchezo wa #NBCPremierLeague
Magoli ya Simba yamefungwa na John Bocco dakika ya 16, Augustine Okrah dakika ya 55 na Henock Inonga dakika ya 73 huku goli la kufutia machozi kwa KMC likifungwa na Sadala Lipangile dakika ya 52.
Show more
0 Comments
sort Sort By